THE DREAM STUDIOS

wambura babu log

DARDYS FASHION

DARDYS FASHION

Friday, 9 January 2015

Wanyama walipatiwa tuzo mjini Bangalore na Mwanasiasa Vatal Nagaraj, Kiongozi wa chama kimoja mjini humo. Mtandao wa NDTV umeripoti.

Mwanasiasa huyo amesema ameamua kutoa tuzo kwa wanyama kama Punda, Mbwa, Swala,na Ng'ombe kwa kuwa waaminifu kuliko binadamu, wanafanya kazi kwa bidii,wana adabu na heshima.
Nagaraj aliwapamba wanyama hao kwa maua wakati wa tukio la kuwatunuku.
Wakiwa wamevalia shanga zenye rangi za kupendeza, Punda waliwafurahisha watazamaji waliokusanyika katika sherehe hiyo.
Mwanasiasa huyo amesema Punda hutumika kwa kiasi kikubwa kuchapa kazi nchini India, mara nyingi hawatiliwi maanani.
Hakuna vigezo vigezo vya maombi, wala hakukuwa na majaji wa kuwachagua washiriki.yalikuwa mashindano ya kipekee ya tuzo ulimwenguni, Nagaraj alisema kabla ya shamrashamra hizo

country Bagel in Parkway Center sees hopes rise in 2015

Country Bagel in Parkway Center sees hopes rise in 2015

WEST GOSHEN >> If it is supposed to get easier to run a business the longer you do it, someone should tell the owners of Country Bagel and Bakery in the Parkway Center just south of West Chester. ... 5 mins ago
Eneo ambalo washukiwa wa Charlie Hebdo wamezingirwa nchini Ufaransa
Milio ya risasi imesikika na kuna ripoti ya kukamatwa kwa mateka mmoja huku maafisa wa polisi wa Ufaransa wakiwazingira washukiwa waliohusika na mauaji ya Charlie Hebdo.

UN yakemea mashambulizi dhidi ya Albino

Umoja wa Mataifa umekemea wimbi la mashambulizi dhidi ya Watu wenye ulemavu wa ngozi, Albino, baada ya tukio la kutekwa kwa mtoto wa miaka minne mjini Mwanza, kaskazini magharibi mwa Tanzania.

Wednesday, 7 January 2015

'I do not want to see her boobs hanging out': BBC receives 400 complaints after Rita Ora flaunts her chest in low-cut suit on The One Show

Taking the plunge: Rita Ora showed off her assets in a plunging white trousersuit as she promoted The Voice on Monday 
Taking the plunge: Rita Ora showed off her assets in a plunging white trousersuit as she promoted The Voice on Monday 

The BBC has come under fire for allowing Rita Ora to flaunt her chest on the pre-watershed program The One Show.
The newest Voice UK judge was promoting the new series of the BBC singing competition, but after appearing in a low-cut white blazer she became the target of over 400 complaints.
'I do not want to see her boobs hanging out on a family programme,' one viewer wrote on the BBC's Points of View message board.

Unimpressed:  Viewers took to the BBC message boards to complain about her low-cut top
Unimpressed:  Viewers took to the BBC message boards to complain about her low-cut top
The BBC issued an apology: 'If we had been consulted we would have requested she wore something more suitable for 7pm.'
That wasn't the 24-year-old singer's only daring outfit of the day as she earlier appeared in a low-cut blue gown with a thigh-high split.
And her wardrobe certainly proved popular with her fellow male judges, with both Ricky Wilson and will.i.am copping an eyeful during the day. 

 
In stitches: Rita appeared to be enjoying herself as she laughed at co-star Ricky Wilson's jokes 
In stitches: Rita appeared to be enjoying herself as she laughed at co-star Ricky Wilson's jokes 

Wearing low-hanging jeans finally pays off... Justin Bieber unveiled as the new face and body of Calvin Klein underwear

 New kid on the block: Justin Bieber is the star of Calvin Klein's latest advert; on Tuesday he captioned a photo of himself, 'Officially a part of the legacy. Check out @calvinklein for more. #mycalvins. #newfaceofcalvinklein'
New kid on the block: Justin Bieber is the star of Calvin Klein's latest advert; on Tuesday he captioned a photo of himself, 'Officially a part of the legacy. Check out @calvinklein for more. #mycalvins. #newfaceofcalvinklein'

For months he has been showing off his sculpted torso.
And on Tuesday it was revealed that Justin Bieber is now getting paid for those toned abs as he's been named the star of the new Calvin Klein campaign.
The 20-year-old hit maker, who appears shirtless in the adverts, put his briefs on display as he posed with 31-year-old Dutch model Lara Stone.

Death of a hero live on their mobile phones: Group film as bomb disposal officer is killed as he tried to defuse device left outside Cairo petrol station

Heroic: The police officer, dressed in protective clothing, is seen edging towards the device - hidden beneath the plant behind the backpack. In the background, three bystanders film on their mobile phones
Heroic: The police officer, dressed in protective clothing, is seen edging towards the device - hidden beneath the plant behind the backpack. In the background, three bystanders film on their mobile phones

These shocking images show a group of bystanders filming a brave Egyptian police officer as he is killed while trying to defuse a bomb left outside a petrol station.  
The video, taken on a mobile phone, shows at least three other men filming as the officer, dressed in protective gear, is blasted through the air after the device explodes in his hands.
And the callous filmmaker behind these pictures continues even after the debris has settled around the lifeless body of the officer - and passersby have rushed to his side.

LUDACRIS AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE RAIA WA GABON

Mwanamuziki Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa Gabon.
Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.

WASTAAFU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU KATIKA KUTUMIA UJUZI NA TAALUMA ZAO ZA MUDA MREFU

Katibu wa Jumuiya ya Wafanyakazi wastaafu Pemba Bwana Majid Moh’d akimkabidhi risala Mkamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwenye hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Jumuiya hiyo hapo ukumbi wa Tasaf Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Chake chake Pemba.

MBUNGE WA MOROGOR MJINI ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 20 KUTATUA KERO YA MAJI KATA YA MLIMANI

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kwenye Ofisi ya Mtendaji  kata ya Mlimani Katika Mfululizo wa Ziara zake katika Kata mbalimbali Jimbo la Morogoro mjini.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Vifuko vya mndihira na Mwere Vilivyo Kata ya mlimani Ambavyo Vimegarimu Kiasi cha Shilingi Milion 3 Zilizotolewa na Mbunge Huyo

MKIA WA NDEGE YA AIRASIA QZ8501 WAPATIKANA

Mchoro wa mkia wa ndege ukionyesha kifaa cha kutunza kumbukumbu za ndege 'black box'.
Picha ikionyesha mabaki ya ndege ya AirAsia kutoka baharini.

SERIKALI YATAKIWA KUKOMESHA UBABE KWENYE UKEKETAJI

DSC_0300
Mratibu wa kituo cha TFGM na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Catherine Laboure ya Kijiji cha Masanga kilichopo wilayani Tarime mkoani Mara, Thomas Maruga akiwatembeza maeneo mbalimbali ya shule hiyo na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt. Natalia Kanem (kushoto) wakati wa sherehe ya mahafali ya sita ya mabinti waliokwepeshwa msimu wa ukeketaji

VIJANA Kilimanjaro watakiwa kusimama imara na kudai fursa mbalimbali zikiwamo za kupewa kipaumbele katika ajira zinazotokana na mlima Kilimanjaro


VIJANA wa mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kusimama imara na kudai fursa mbalimbali zikiwamo za kupewa kipaumbele katika ajira zinazotokana na mlima Kilimanjaro.
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini na Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilaya ya Moshi Vijijini, Innocent Melleck alipokuwa akizungumza na waandishi wahabari juu ya mkakati wa kupambana na wimbi la vijana walio mitaani kwa kukosa ajira katika mkoa wa Kilimanjaro .
  Melleck alisema anatarajia kuitisha mkutano maalum kwa ajili ya kuwakutanisha vijana kujadili namna watakavyoweza kufaidika na fursa zitokanazo na mlima Kilimanjaro hususani katika sekta ya utalii.

PHILI :SARE BASI SIMBA

.

Monday, 5 January 2015

NI MVUTO HALISI

MBEYA;MWAKABWANGA AJENGA KIVUKO NA VISIMA MBARALI


KAMPUNI ya usafirishaji ya Usangu Logstics Ltd,(Mwakabwangas), imejenga kivuko kinachounganisha Tarafa za Ilongo na Rujewa, katika wilaya ya Mbarali mkoani hapa.
wilayani humo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ibrahim Ismail, alisema kuwa kampuni yake ilifikia uamuzi huo baada ya mwaka jana kutembelea eneo hilo na kumuona Bibi kizee ambaye alikuwa akivuka kwa miguu ndani ya maji huku akihitaji msaada.

Alisema hali hiyo ilimgusa na kuamua kushirikisha uongozi wa kampuni yake na kuamua kufanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa kivuko hicho kisha kukitengeneza Jijini Dar es Salaama na kupeleka wataalam wengine katika eneo hilo kwa ajili ya kukifunga na sasa kimeanza kutumika.

“Tangu dunia kuwepo, hakujakuwepo kivuko, lakini kivuko hiki kwa sasa kimekuwa mkombozi kwa wananachi na ni sadaka yangu kwa Mungu kwa ajili ya kuhudumia watu hasa wajawazito na wazee. Kina uwezo wa tani 25 na sahani ya kukalia, ina uwezo wa kubeba watu nane na kimegharimu Shilingi Milioni 35” alisema Ibrahim.

Mbali na kivuko hicho, alisema tayari ameanza ujenzi mwingine wa kivuko cha mto Barali kitakachokuwa na urefu wa mita 100, kitakacho gharimu kiasi cha Shlingi Milioni 35.

Sambamba na vivuko hivyo, alitembelea wagonjwa katika hospitali ya Wilaya ya Mbarali mwanzoni mwa wiki hii na kuwapa pole kwa kuwapatia sabuni na kwamba alichokigundua ni kwamba kuna uhaba wa vitanda vya wagonjwa.

Kampuni ya (Mwakabwangas), kwa kutambua tatizo la maji safi katika wilaya hiyo, imechimba visima vya kisasa katika maeneo ya Isisi, Utengule Usangu ambako ndiyo chimbuko la kampuni hiyo na Ilongo, vinavyogharimu Shilingi Milioni 80 kwa kila kimoja.

PANYA ROAD WALISIMAMISHA JIJI, DAR SI SALAMA

Stori: Mwandishi Wetu ACHENI jamani! Vurugu tuzisikie tu kwa wenzetu! Kitendo cha vijana wachache wasio na maadili wanaojiita Panya Road kufanya fujo kidogo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar, wakazi wa jiji hilo wamekitafsiri kitendo hicho na kusema Dar sasa si sehemu salama tena ya kuishi, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili.

WEMA, ZARI JIONGEZE MWENYEWE!

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akipozi.
Kumekuwa na maneno mengi juu ya nani mzuri kati ya staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Wema ametembea na Diamond na sasa Zari anadaiwa kuchukua uskani. Ijumaa Wikienda limechukua jukumu la kumaliza ubishi ambapo lilibandika swali hilo kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter. Maelfu ya mashabiki wao walipata nafasi ya kutoa ya moyoni. Majibu yaliyopatikana pima mwenyewe, ujiongeze.

Bunge jipya la Marekani kukutana Jumanne

  • wawakilishi katika bunge la Marekani

    Wa-Republican katika mabaraza yote pia wataangalia kutengua sahihi ya Rais Barack Obama ya mageuzi ya huduma za afya na kuzuia amri yake ya kiutendaji kwenye suala la uhamiaji.

Sunday, 4 January 2015

YANGA YAIZAMISHA SIMBA 4-3 KATIKA MCHEZO WA MWAKA MPYA ULIOANDALIWA NA PSPF

TIMU ya Yanga veterani imeibuka mshindi wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba veterani ulioandaliwa na PSPF, Yanga iliibuka na ushindi wa bao 4-3 na kubeba kombe. Mchezo huo ulifanyika tarehe 1 Januari 2015 katika uwanja wa chuo cha Bandari, Tandika jijini Dar es Salaam.

Hadi dakika tisini zinakamilika timu hizo zilitoka sare ya bao moja kwa moja, mabao hayo yaifungwa na Omari kapilima kwa upande wa Yanga na Barnabas Sekolo kwa upande wa Simba.

Bingwa wa mchezo huo alipatikana kwa njia ya matuta, ambapo kwa upande wa Yanga walipata penalty ni Empram makoye, Ngada Shaganga, Ismail Issa na Deo Lucas. Yanga ilikuwa ikifundishwa na Peter Tino Kasongo Athumani kwa Kwa upande wa simu waliozamisha penati ni Athumani Chama, madaraka Selemani na Issa Manofu. Simba ilikuwa chini ya Kasongo Athumani.

Lengo la mchezo lilikuwa kutoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na maeneo ya karibu hususani katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. PSPF itatumia fursa hiyo kutangaza huduma zake mpya ambazo Mkopo wa Elimu na Mkopo wa Kuanza Maisha.

Lady Jaydee - Yahaya (Official Video with lyrics)

Lulu akiimba wimbo wa Lady Jaydee Yahaya

MWANAFUNZI JELA KWA KUMTUSI RAIS KENYA

 
Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amepewa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumtukana rais
wa          Kenya Uhuru Kenyatta katika mtandao.
Alan Wadiu Okengo mwenye umri wa miaka 25 pia atalipa faini ya dola 2,200 la sivyo ahudumie kifungo chengine cha mwaka mmoja.
Alikuwa ameshtakiwa kwa kutoa matamshi ya chuki baada ya kusema kuwa watu wa kabila la rais la kikuyu wanafaa kuwekewa mipaka katika maeneo fulani.

mchezo wetu

ALAN PARDEW AANGUKA MIAKA MITATU NA NUSU CRISTAL PALACE

 
Klabu ya Crystal Palace imemtangaza rasmi Alan Pardew kama meneja wake mpya kwa kumpatia mkataba wa miaka mitatu na nusu.
Meneja huyo wa zamani wa klabu ya Newcastle United alikuwepo uwanjani siku ambayo klabu yake hiyo mpya ilikua ikiminyana na Aston Villa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 0:0 siku ya mwaka mpya.
Taarifa zinadai kuwa Pardew alikuwepo kwenye dimba la mazoezi la timu hiyo siku ya Ijumaa na sasa anakwenda kuwa mrithi wa menejaNeil Warnock aliyetimuliwa siku ya Krismasi.

Matanki ya kuhifadhi mafuta yachomwa moto Libya

Moto ukiwaka kwenye moja ya matanki ya mafuta Libya
Moto ukiwaka kwenye moja ya matanki ya mafuta Libya
Televisheni za ndani nchini Libya zinaripoti kuwa wafanyakazi wa idara ya zima moto  wamezima moto katika matanki kadhaa ya kuhifadhi  mafuta kwenye bandari ya Sidra Jumatatu lakini maeneo mengine bado yanawaka moto.
Serikali inayotambulika kimataifa iliyopo  katika mji wa Tobruk na ushirika wa wanamgambo wa kiislamu katika mji mkuu wa Tripoli wanashutumiana  kwa kushambulia maeneo hayo ya matanki ya kuhifadhi  mafuta.
Mioto katika eneo linalojulikana kama “ Oil triangle” nchini Libya umesababisha bei ya mafuta duniani kupanda kidogo  na kuzusha hofu ya kutokea uharibifu mkubwa wa kimazingira.
Televisheni za Libya zinaripoti kwamba wafanyakazi wa idara ya zima moto walifanikiwa kuzima moto katika baadhi ya matanki ya kuhifadhi mafuta, lakini vyombo vingine vya habari vya kiarabu vimeonesha picha ya moto mkubwa unaondelea kuwaka na kusababisha moshi mkubwa hewani .
Maafisa nchini Libya wameomba msaada kutoka  Italy kuzima moto huo lakini serikali ya Italia imesema itafanya hivyo endapo tu ghasia za  ushirika wa wanamgambo wa kiislamu mjini  Tripoli na vikosi vinavyoitii serikali kwenye mji wa Tobruk zitakapositishwa.
Mtaalamu wa masuala ya mafuta nchini Libya, Tareq Ibrahim  ameiambia televisheni ya serikali kwamba moto umesababisha uharibifu mkubwa katika uchumi wa nchi.
Amesema uharibifu umeigharimu Libya  dola milioni 180. Amekadiria kuwa itachukua karibu miaka mitatu kukarabati au kujenga tena matanki hayo.
Uuzaji nje  wa mafuta kutoka pande zote za sidra na bandari ya karibu ya Ras Lanouf ulisitishwa wiki chache zilizopita baada ya serikali ya Omar al Hassy  ilipojitangazia utawala mjini Tripoli kuapa kuchukua udhibiti wa vinu vya  mafuta kutoka serikali inayotambuliwa kimataifa ya Abdullah al- Thani.
Mashahidi wanasema moto katika matanki ya kuhifadhi mafuta  ulianza wakati ushirika wa wanamgambo wa Farj ulipofyatua roketi  huko sidra wiki iliyopita katika jaribio lililoshindikana la kuuchukua mji huo.
Msemaji wa wanamgambo wa Farj alidai wapinzani wao walihusika na uchomaji moto huo.
Msemaji wa wanamgambo Islamil Shoukri pia alisema ndege za kivita za Libya zinazotii serikali ya Thani na kamanda mstaafu wa kijeshi  khalifa Hafter walipiga  mabomu bandari za Sidra na Ben Jawad siku ya  Jumatatu, na kusababisha majeruhi.
VOA haikuweza kupata uthibitisho huru wa madai hayo.

Matanki ya kuhifadhi mafuta yachomwa moto Libya

  • Ramani ya Libya

    Serikali inayotambulika kimataifa iliyopo katika mji wa Tobruk na ushirika wa wanamgambo wa kiislamu katika mji mkuu wa Tripoli wanashutumiana kwa kushambulia maeneo hayo ya matanki ya kuhifadhi mafuta.

Mahakama Kenya yasitisha vipengele vya sheria ya usalama


  • Sheria hiyo mpya inaipa nchi baadhi ya mbinu zinazohitajika ili kupambana na kitisho cha ugaidi ikiwemo nyongeza ya muda wa kushikiliwa washukiwa bila kufunguliwa mashtaka kutoka siku 90 hadi 360

Kiongozi wa Ujasusi wa Al-Shabab auwawa

  • Askari wa Somalia wakifanya ulinzi huko Mogadishu, Somalia.  
    Taarifa iliyotolewa na idara ya usalama wa taifa ya Somalia, na idara ya ulinzi Jumanne, imesema Abdishakur Tahlil aliuwawa na watu wengine wawili katika shambulio la Jumatatu.

Friday, 2 January 2015

Nahodha wa timu ya Liverpool ya Uingereza Steven Gerrard ataondoka katika klabu hiyo wakati mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu.

 http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/07/141207153043_steven_gerrard_304x171_getty_nocredit.jpg

Gerrard, mwenye umri wa 34, alikuwa huru kusaini makataba wa awali na timu ya nje siku ya Alhamisi na anaaminika kutatakiwa na vilabu vya Marekani.
Gerrard, ambaye alianza kuichezea Liverpool mwaka1998, hatahamia katika klabu nyingine ya Uingereza.
Liverpool ilimpa Gerrard mkataba mpya mwezi Novemba na atatoa taarifa kuhusu mustakhabali wa maisha yake ya soka Ijumaa.
Rais wa klabu ya LA Galaxy ya Marekani Chris Klein amekataa kusema lolote kuhusu klabu yake kumsajili Gerrard, ambaye alifunga penalti mbili katika matokeo ya sare ya 2-2 na timu ya Leicester City katika mechi iliyochezwa siku ya Mwaka Mpya 2015.

SHUGHULI MBALIMBALI ZA WAZIRI MKUU PINDA NA MKEWE TUNU WILAYANI MLELE


unnamed
Wanakwaya wa kwaya ya Makuhani ya Kanisala la EAGT Makanyagio, Mpanda wakiimba katika uzinduzi wa Album yao ya Tuiombee Afrika uliofanywa na mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda kwenye ukumbi wa Shule ya Saint Mary's ya Mpanda Desemba 31, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MKUU WA MKOA WA IRINGA AKABIDHI BATI 500 KWA HALMASHAURI



Mkuu wa mkoa wa iringa amina juma masenza (katikati)akikabidhi bati 100 kwa kaimu mkurugenzi wa manispaa ya iringa erasto kiwale ambaye pia ni afisa utumishi kwa ajili ya ujenzi wa maabara, anayeshuhudia ni katibu tawala wa mkoa (RAS) Wamoja Ayub.
Aidha, mkuu huyo alikabidhi mabati mengine kwa halmashauri ya mufindi ilipewa bati 150, kilolo (150) na wilaya ya iringa ilikabidhiwa bati 100 kwa ajili ya kumamilisha maabara ambapo zipo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
Jumla ya maabara 318 zinatarajiwa kujengwa katika jumla ya shule za sekondari 106 mkoani iringa ambapo kila shule inatakiwa na maabara 3.

Lipuli FC Wameamua Mwaka Huu..!



Picha  ni jana jioni.

Monday, 29 December 2014


NYALANDU ATANGAZA RASMI KUWANIA URAIS 2015


 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Miche
Ilongelo, jimboni humo 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo
 
Mbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.

Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa kuiongoza Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo endelevu wanayotaka Watanzania.

Amesema, yuko tayari kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa wanafaa kuwa Rais, lakini akisema kwanza kila atakayejitokeza itabidi kazi zake zipimwe kwa moto na endapo zitayeyuka hafai.

Nyalandu ambaye alitangaza uamuzi huo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo jimbo la Singida Kaskazini, alisema, yeye anaingia kwenye kinyang’anyiro akiwa kifua mbele kutokana na kuamini kwamba amekwishafanyakazi zilizotukuka.

“Kazi zangu nilizofanya zinajulikana na ninaziamini kwamba ni nzuri, hivyo yeyote atakayetaka urais apimanishwe na mimi kwa kupimwa kazi zetu kwa moto”, alisema Nyalandu
Itakapofika siku ya siku, nitaenda Dodoma nikisindikizwa na wana Singida Mashariki, na wengine wengi kutoka pembe zote za Tanzania, kwenda Dodoma kuchukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM”, alisema.

Tuesday, 23 December 2014

Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)

BONDIA TWAHA KASSIM WA MOROGORO AMTWANGA KWA KO, MUSSA CHITEPETE WA SONGEA

Mabondia Twaha Kassim wa Morogoro kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mussa Chitepete wa Songea wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kassim alishinda kwa K,O ya raundi ya sita Picha na SUPER D BOXING NEWS

WAZIRI WA HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO. AKABIDHI ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA KIKE


001
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara(MB) akikagua timu za Vijana waliochini ya miaka 15 kutoka Kinondoni na Dodoma ambazo zilishiriki hatua ya fainali katika mashindano ya Copa Coca Cola mwishoni mwa wikiendi katika uwanja wa Krume jijini Dar es Salaam. Ambapa katika fainali hizo kwa upande wanaume toimu kutoka Dodoma iliibuka bingwa wa mashindano hayo kwa kuichapa Kinondoni jumla ya magoli 4 -0, wakati kwa upande wa wanawake Kinondoni ilinyakua ubingwa kuifunga Ilala kwa mikwaju ya penati 2 – 1 baada ya dakika tisni kumaliza kwa sare ya mbili mbili.
3
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) (wa tatu kutoka kushoto) akifurahia mara baada ya kukabidhi zawadi ya mchezaji bora wa kike katika mashindano ya Copa Coca Cola kwa Golikipa wa timu ya Kinondoni Zubeda Mohamed (15). Wakwanza kutoka kushoto ni Meneja Masoko wa Coca Cola Bw. Godfrey Njowoka, Rais wa TFF Jamal Malinzi na nyuma ya waziri anayecheka ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo.
3
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB) (wa tatu kutoka kushoto) akifurahia mara baada ya kukabidhi zawadi ya mchezaji bora wa kike katika mashindano ya Copa Coca Cola kwa Golikipa wa timu ya Kinondoni Zubeda Mohamed (15). Wakwanza kutoka kushoto ni Meneja Masoko wa Coca Cola Bw. Godfrey Njowoka, Rais wa TFF Jamal Malinzi na nyuma ya waziri anayecheka ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo.

Neno La Leo: Rais, Utu Na Haki...

Kwenye Jamhuri Rais ana mamlaka makubwa sana, Hivyo, kwenye Jamhuri, Rais aweza kuwa dikteta, akitaka. Anaweza kuonea na hata kukandamiza raia wake. Kuwanyima haki.
Kwenye nchi yetu hatujapata bahati mbaya ya kuwa na Rais dikteta. Na hata wale wenye kutamani Rais dikteta, kimsingi hawajawahi kuishi kwenye utawala wa rais dikteta.
Na yanayoitwa maamuzi magumu ya Rais kwenye Jamhuri yaweza pia kutafsiriwa kama maamuzi ya kidikteta. Kinachotakiwa ni maamuzi yenye hekima na busara. Na mwenye kutanguliza hayo, maamuzi yake husemwa pia kuwa ni magumu. Maana, si kazi rahisi kufikia maamuzi yenye hekima na busara. Maamuzi yenye kuzingatia Utu na Haki.

Escrow yamfukuzisha kazi Profesa Tibaijuka, Muhongo awekwa kiporo

Rais wa Jamhuri wa Tanzania Jakaya Kikwete ametangaza kutengua uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka baada ya vyombo vya Serikali kubaini na kijiridhisha kuwa amekiuka maadili ya utumishi wa Umma kwa kuingiziwa fedha kiasi cha Sh1.65bilioni kwenye akaunti yake binafsi.
Rais kikwete ametangaza kufukuzwa kazi kwa Waziri huyo leo alipokuwa anazungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini hapa, na baada ya kutangaza kufukuzwa kwake maelfu ya wazee waliohudhuria kwenye mkutano huo walipiga kelele za kumpongeza Rais Kikwete kwa uamuzi wake.(MM)

Monday, 22 December 2014

KITUO CHA RADIO 5 WAFANYA KAMPENI YA USHINDI KWA WATOTO YATIMA

SAM_0388Wafanyakazi wa kituo cha redio 5 Arusha wakikabidhi misaada mbalimbali katika kampeni ya "USHINDI"inayoendeshwa na kituo hicho,misaada hiyo ilitolewa na wahisani mbalimbali kwaajili ya watoto wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Mkoani Arusha,katika Meneja  ubunifu wa Redio 5 Vicky Mwakoyo kushoto ni Sarah Keiya wakiwakabidhi watoto wa kituo cha kiwohede ndoo ya mafuta ya kupikia kwaajili ya sikukuya Krismass na mwaka mpya jijini hapa jana katika hotel ya world Garden.
SAM_0393
Wafanyakazi wa kituo cha redio 5 wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kituo cha kiwohede na huruma katika hotel ya world Garden iliyopo moshono jijini Arusha katika tam

MH. PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO QATAR


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.

FUTURE Jnl- Without you


ALIKIBA - MWANA ( OFFICIAL VIDEO HD )

  

I LOVE SIMBA