

Mkuu wa mkoa wa iringa amina juma masenza (katikati)akikabidhi bati 100 kwa kaimu mkurugenzi wa manispaa ya iringa erasto kiwale ambaye pia ni afisa utumishi kwa ajili ya ujenzi wa maabara, anayeshuhudia ni katibu tawala wa mkoa (RAS) Wamoja Ayub.
Aidha,
mkuu huyo alikabidhi mabati mengine kwa halmashauri ya mufindi ilipewa
bati 150, kilolo (150) na wilaya ya iringa ilikabidhiwa bati 100 kwa
ajili ya kumamilisha maabara ambapo zipo katika hatua mbalimbali za
ujenzi.
Jumla
ya maabara 318 zinatarajiwa kujengwa katika jumla ya shule za sekondari
106 mkoani iringa ambapo kila shule inatakiwa na maabara 3.