Mahakama Kenya yasitisha vipengele vya sheria ya usalama
Sheria hiyo mpya inaipa nchi baadhi ya mbinu zinazohitajika ili
kupambana na kitisho cha ugaidi ikiwemo nyongeza ya muda wa kushikiliwa
washukiwa bila kufunguliwa mashtaka kutoka siku 90 hadi 360