Matanki ya kuhifadhi mafuta yachomwa moto Libya
-

Serikali inayotambulika kimataifa iliyopo katika mji wa Tobruk na
ushirika wa wanamgambo wa kiislamu katika mji mkuu wa Tripoli
wanashutumiana kwa kushambulia maeneo hayo ya matanki ya kuhifadhi
mafuta.