ujasiliamari nguvu ya taifa changamkia fulsa
ushauri kwa maisha ya kila siku
kijana taifa la leo na kesho pia
vijana acheni kulalamika kila siku mkilalamikia ajira
serikalini kaeni chini muangalie njia mbadala za kuweza kuwainua kimaisha na si
kutegemea ajira za serikalini pekee.kijana ambae mpaka leo unahangaikia ajira
naomba nikutaarifu kuwa hujachelewa bado cha msingi ni ni kuchangamkia ujasiliamari.
ewe kijana ambae umeanza kukata tamaa na kudhani kuwa ajila pekee ni serikalini unajidanganya
ewe kijana ambae umeanza kukata tamaa na kudhani kuwa ajila pekee ni serikalini unajidanganya
si vyema kusema
ajira hazipo kaa ukijua kuwa akili na nguvu yako ndio mtaji wako ewe kijana
usipende kufanya mambo yasiyo na faida kwako ukitegemea siku moja unaweza kuwa
tajiri au mtu wa kuheshimik pasipo kujishughulisha.amka na tafakari.
nakupa mbinu zitakazo kutoa kimaisha ewe kijana unaedhani ajira ni sekta
binafsi tu au serikalini.
1.Mwamini mungu kuwa ndie anaeweza yote na ndie atakae kufanikishia yote.
2.Jenga kujiamini kuwa unaweza kuwa
mjasiliamari mzuri na unae weza fanikiwa mapema.
3.Amini kuwa wote waliofanikiwa walikuwa kama
wewe ulivyo juhudi zao katika kazi ndizo zilizowafanikisha kwa kila kitu.
4.jaribu kila kazi iliyombele yako,kijana
usidharau kazi maana kila kazi ukiifanya kwa uaminifu na kwa kuipenda lazima
ufanikiwe.
5.Usiogope hasara ewe mjasiliamari fanya kazi kwa kuamini kufanikiwa na kutofanikiwa ni sehemu ya maisha lakini hakuna ua lililoanza kuwa kama ua.
6.Weka malengo
yaliyo mbadala katika kazi yako huku ukifanya ubunifu katika biashara yako au
kazi yako.
7. hakuna kinachoweza kufanywa pasipo malengo na nia kila kazi iliyopo humu duniani ni juhudi za kazi na malengo kwa kila mmoja anavyojipangia.ila ujasiliamari ndio nguvu kuu ya maisha ya kila siku.
7. hakuna kinachoweza kufanywa pasipo malengo na nia kila kazi iliyopo humu duniani ni juhudi za kazi na malengo kwa kila mmoja anavyojipangia.ila ujasiliamari ndio nguvu kuu ya maisha ya kila siku.
8.usiogope
kuanzisha kitu kwa kufikiri juu ya watu waneneyo amini kuwa kila mmoja ana
uelewa wake na juhudi zake katika kazi anazozifanya hivyo kushindwa kwa mwenzio
katu kusikukatishe tamaa maana kila mtu anauwezo wake katika kufanya jambo
analolifanya.
9.fanya kazi kwa
kuangalia mazingira yapi yatakayokuwa rafiki katika kazi yako usifanye kazi tu
pasipo kuchunguza kwa makini ni vitu gani vitakavyo kufaa kulingana na
mazingira uliyopo
10.heshimu kila mtu
kwa nafasi yake ukiamini kila mtu anamchango wake katika maisha yako.
mwisho napenda kutoa wito kwa vijana wenzangu
kuwa fulsa zipo kwa wale wanaotaka nazo ni ujasiliamari nguvu ya taifa.
usitegemee usingizi kukuamsha.
ujana ni kipindi cha kutoka kimaisha
je wewe
ni kijana? je unapenda kuwa mjasiliamari?wasiliana
nami kupitia mawasiliano haya.
huu dio ulimwengu wa ujasilamari
pongezi zote ziwafikie wote waliojiajiri na kutoendelea kuwa watumwa wa kazi.Mfanya biashara unaejibidisha katika kazi nakuombea kwa mungu akufanikishie yote kwa wakati
Ewe mama ntilie nakusihi isijetokea hata
siku moja ukakata tamaa juu ya kazi uliyonayo
amini kuwa hiyo kazi ukiifanya kwa ubunifu uta-
fanikiwa kimaisha mapema sana leo napenda
kukupongeza kwakujiajiri na sio kuwa mtumwa
wa kazi.
mvuvi nakuambia usitegemee kuvua tu
ndio utakufanikisha yote unayopanga kuyafanya
fanya kazi kwa malengo,fanya kazi kwa bidii,
na kwaubunifu pia usije dhani kuwa maendeleo
yanakuja bila kujibidisha kazi yako ni nzuri na
ninaipenda
mkulima kilimo ni uti wa mgongo yakupasa
ufanye jitihada za hali na mali kuweza kufanikisha
na kuendeleza uchumi wa taifa.mkulima amini
kuwa bila wewe hakuna atakaeishi kwa
kutegemea maji.mkulima nakupongeza sana
kwa jitihada unazofanya mtu wa kwanza
kufanikiwa kimaisha ni mkulima.
machinga usichoke jamii haijakusahau
na inakukumbuka sana kazi unayoifanya ni nzuri
ukiifanya kwa uaminifu wapo watu wamejenga
na wanasomesha kupitia kazi kama yako.
jitahidi kuwa mbunifu katika kazi.
mfugaji fanya kazi hiyo kwa kuipenda ni
nzuri sana na inaweza kukufanikishia vyema maisha
yako pasipo tatizo lolote.jenga kujiamini na moyo
wa kupenda kuongeza mifugo na si kilidhika.
dreva bodaboda ukarimu katika kazi yako
ndio itakutoa mapema kimaisha,jitihada na bidii katika
kazi ndio itakupa msingi bora wa maisha ungeza ufundi
katika kazi yako.
madreva na makonda nawapongeza kwa kazi